\v 4 (Zingatia: Angalia ufafanuzi wa Yohana 7: 53 - 8: 11 hapo juu). Ndipo wakamwambia Yesu, "Mwalimu, mwanamke huyu amekamatwa katika tendo la uzinzi kabisa. \v 5 Sasa, katika sheria, Musa ametuamuru kuwapiga mawe watu kama hawa, unasemaje juu yake? \v 6 Walisema haya ili kumnasa ili kwamba wapate jambo la kumshitaki, lakini Yesu akainama chini akaandika katika ardhi kwa kidole chake.