\v 33 Ndipo Yesu aliposema, "Bado kuna muda kitambo niko pamoja nanyi, na baadaye nitakwenda kwake yeye aliyenituma. \v 34 Mtanitafuta wala hamtaniona; kule niendako, hamtaweza kuja."