\v 19 Musa hakuwapa nyinyi sheria? Lakini hakuna hata mmoja kati yenu atendaye sheria. Kwa nini mnataka kuniua? \v 20 Makutano wakajibu, "Una pepo. Nani anataka kukuua?"