\v 10 Hata hivyo, ndugu zake walipokuwa wamekwenda katika sikukuu, ndipo naye alienda, siyo kwa wazi bali kwa siri. \v 11 Wayahudi walikuwa wakimtafuta katika sikukuu na kusema, "Yuko wapi?"