\v 8 Pandeni kwenda katika sikukuu; mimi siendi katika sikukuu hii kwa sababu muda wangu haujatimilika bado." \v 9 Baada ya kusema mambo hayo kwao, alibaki Galilaya.