\v 5 Maana ndugu zake pia hawakumwamini. \v 6 Ndipo Yesu alipowaambia, "Wakati wangu haujafika bado, lakini wakati wenu kila mara uko tayari. \v 7 Ulimwengu hauwezi kuwachukia ninyi, bali unanichukia mimi kwa sababu ninaushuhudia kuwa matendo yake ni maovu.