\v 48 Mimi ni mkate wa uzima. \v 49 mababa zenu walikula manna jangwani, na wakafa.