\v 46 Sio kwamba kuna mtu aliyemwona Baba, isipokuwa yeye atokaye kwa Mungu- amemwona Baba. \v 47 Amini, amini yeye aaminiye anao uzima wa milele.