\v 30 Basi wakamwambia, "Ni ishara zipi utakazofanya, kwamba tunaweza kuziona na kukuamini? Utafanya nini? \v 31 Baba zetu walikula manna jangwani, kama ilivyo andikwa, "Aliwapa mikate kutoka mbinguni ili wale."