\v 28 Kisha wakamwambia, "Ni nini tunapaswa kufanya ili kuzifanya kazi za Mungu?" \v 29 Yesu akajibu, "Hii ndiyo kazi ya Mungu: kwamba mmwamini yeye aliyemtuma."