\v 10 Hivyo Wayahudi wakamwambia yule mtu aliyeponywa, "Leo ni siku ya Sabato, na hauruhusiwi kubeba godoro lako." \v 11 Akajibu, yeye aliyeniponya ndiye aliyeniambia, "Chukua godoro lako na uende."