\v 51 Alipokuwa akishuka, watumishi wake walimpokea na kumwambia mwanaye alikuwa mzima. \v 52 Hivyo akawauliza ni muda gani alipata nafuu. Wakajibu, "Jana muda wa saa saba homa ilipomwacha."