\v 19 Yule mwanamke akamwambia, "Bwana naona yakuwa wewe ni nabii. \v 20 Baba zetu waliabudu katika mlima huu. Lakini ninyi mwasema ya kuwa Yerusalemu ndiyo sehemu ambayo watu wanapaswa kuabudu."