\v 15 Yule mwanamke akamwambia, "Bwana, nayaomba maji hayo ili nisipate kiu, na nisihangaike kuja hapa kuchota maji." \v 16 Yesu akamwambia, "Nenda kamwite mumeo, kisha urudi."