\v 12 Kama nimewambia mambo ya hapa duniani na hamuamini, mtawezaje kuamini kama nikiwambia mambo ya mbinguni? \v 13 Maana hakuna aliyepanda kwenda juu mbinguni isipokuwa yeye aliyeshuka kutoka mbinguni- Mwana wa Adamu.