\v 1 Baada ya siku tatu, kulikuwa na arusi huko Kana ya Galilaya na mama yake Yesu alikuwa huko. \v 2 Yesu na wanafunzi wake walikuwa wamealikwa katika arusi.