\v 35 Tena siku iliyofuata Yohana alikuwa amesimama pamoja na wanafunzi wake wawili, \v 36 walimwona Yesu akitembea na Yohana akasema, "Tazama, Mwana kondoo wa Mungu!"