\v 22 Kisha wakamwambia, "Wewe ni nani, ili kwamba tuwape jibu waliotutuma"? Wajishuhudiaje wewe mwenyewe?" \v 23 Akasema, "Mimi ni sauti yake aliaye nyikani: 'Inyosheni njia ya Bwana,' kama nabii Isaya alivyosema."