diff --git a/19/25.txt b/19/25.txt index 417abcb..7aeb3e9 100644 --- a/19/25.txt +++ b/19/25.txt @@ -1 +1 @@ -\v 25 Askari walifanya mambo haya. Mama yake Yesu, dada wa mama yake, Mariamu mke wa Kleopa na Mariamu Magdalena - wanawake hawa walikuwa wamesimama karibu na msalaba wa Yesu. \v 26 Yesu alipomwona mama yake pamoja na yule mwanafunzi aliyempenda wakisimama karibu, akamwambia mama yake, "Mwanamke, tazama, ona mwanao huyu hapa!" \v 27 Kisha akamwambia yule mwanafunzi, "Tazama, huyu hapa mama yako. "Tokea saa hiyo yule mwanafunzi akamchukua kwenda naye nyumbani kwake. \ No newline at end of file +\v 25 Mama yake Yesu, dada wa mama yake, Mariamu mke wa Kleopa na Mariamu Magdalena - wanawake hawa walikuwa wamesimama karibu na msalaba wa Yesu. \v 26 Yesu alipomwona mama yake pamoja na yule mwanafunzi aliyempenda wakisimama karibu, akamwambia mama yake, "Mwanamke, tazama, ona mwanao huyu hapa!" \v 27 Kisha akamwambia yule mwanafunzi, "Tazama, huyu hapa mama yako. "Tokea saa hiyo yule mwanafunzi akamchukua kwenda naye nyumbani kwake. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 30b5fc6..77d4a95 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -384,6 +384,7 @@ "19-14", "19-17", "19-19", - "19-21" + "19-21", + "19-23" ] } \ No newline at end of file