sw_jhn_text_reg/19/19.txt

1 line
287 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 19 Kisha Pilato akaandika alama na kuiweka juu ya msalaba. Hapo paliandikwa: YESU MNAZARETH, MFALME WA WAYAHUDI. \v 20 Wengi wa Wayahudi waliisoma alama hiyo kwani mahali pale aliposulibishwa Yesu palikuwa karibu na mji. Alama hiyo iliadikwa kwa Kiebrania, kwa Kirumi na kwa Kiyunani.