sw_jer_text_reg/48/03.txt

1 line
230 B
Plaintext

\v 3 Sikilizeni! Sauti ya mvumo inakuja kutoka Horonaimu. \v 4 Moabu ameangamizwa. Vilio vya watoto wake vinasikika. \v 5 Wanapanda kilima cha Luhithi wakilia, njia yote kuelekea Horonaimu, vilio vinasikika kutokana na maangamizi.