sw_jer_text_reg/42/01.txt

1 line
409 B
Plaintext

\v 1 Kisha amri wote wa jeshi na Yonathan mwana wa Karea, Jezania mwana wa Hoshaia, na watu wote kutoka mdogo kwa mkubwa walimkaribia Yeremia nabii. \v 2 Walisema naye, "Acha maombi yetu yaje mbele yako. Omba kwa ajili yetu kwa Yahwe Mungu wako kwa ajili ya watu hawa ambao wanabaki kwani tuko wachache katika idadi, kama unavyoona. \v 3 Muulize Yahwe Mungu wako atuambia sisi njia yakuendea na nini tufanye."