sw_jer_text_reg/26/01.txt

1 line
482 B
Plaintext

\c 26 \v 1 Mwanzoni mwa utawala wake Yehoyakimu mwana wa Yosia,mfalme wa yuda, neno likaja kutoka kwa Yahwe, likisema, \v 2 "Yahwe anasema hivi: Simama katika uwanja wa nyumba yangu na sema kuhusu miji yote ya Yuda ambao huja kuabudu katika nyumba yangu. Tangaza maneno yote niliyokuamuru kuyasema kwao. Usipunguze neno lolote! \v 3 Labda watasikiliza, kwamba kila mtu ataziacha njia zake mbaya, ili nighairi majanga ninayokusudia kuyaleta juu yao kwa sababu ya uovu wa matendo yao.