sw_jer_text_reg/10/06.txt

1 line
279 B
Plaintext

\v 6 Hakuna aliye kama wewe, BWANA. Wewe ni mkuu, na jina lako lina nguvu. \v 7 Ni nani asiyekuwa na hofu juu yako, wafalme wa mataifa? Kwa kuwa hiki ndicho unachostahili, kwa kuwa hakuna wa kuwa kama wewe kati ya wote wenye hekima katika mataifa yote au katika hali yao ya enzi.