sw_jer_text_reg/42/18.txt

1 line
494 B
Plaintext

\v 18 Kwa kuwa BWANA wa majeshi, Mungu wa Israel, asema hivi: Kama vile gadhabu yangu na hasira yangu ilivyokuwa imemwanga juu ya wakazi wa Yerusalem, kwa njia hiyo hasira yangu itamwangwa juu yenu kama mtaenda Misri. Mtakuwa kitu cha laana na hofu, kitu cha kuzungumza laana, na kuwa kitu kisichokuwa na heshima. Na hamtaona eneo hili tena." \v 19 Basi Yeremia alisema, "BWANA amezungumza kuhusu ninyi-- mabaki ya Yuda. Msiende Misri! Mnajua kwa hakika kwamba nimekuwa shahidi dhidi yenu leo.