sw_jer_text_reg/29/20.txt

1 line
381 B
Plaintext

\v 20 Kwa hiyo ninyi wenyewe sikilizeni neno la Yahwe, ninyi mateka wote ambao amewatuma kutoka Yerusalemu hadi Babeli, \v 21 'Yahwe Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, anasema hivi kuhusu Ahabu mwana wa Kolaya na Sedekia mwana wa Maaseya, watabirio uongo kwenu katika jina langu: Ona, niko karibu kuwaweka katika mkono wa Nebukadneza mfalme wa Babeli. Atawaua mbele ya macho yenu.