sw_jer_text_reg/29/10.txt

1 line
377 B
Plaintext

\v 10 Kwa maana Yahwe anasema hivi, 'Babeli atakapokuwa amewatawala kwa muda wa miaka sabini, nitawasaidia ninyi na kulitimiza neno langu jema kwa ajili yenu ili kuwarudisha ninyi katika sehemu hii. \v 11 Kwa maana mimi mwenyewe naijua mipango niliyonayo kwa ajili yenu—hili ni tangazo la Yahwe—mipango ya amani na siyo mabaya, ili kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.