sw_jer_text_reg/41/11.txt

1 line
290 B
Plaintext

\v 11 Lakini Yohanani mwana wa Karea na maamiri wote wa jeshi pamoja naye walisikia madhara yote ambayo Ishmaeli mwana wa Nethania alikuwa amefanya. \v 12 Basi waliwachukua wanaume wao na kwenda kupigana dhidi ya Ishmaeli mwana wa Nethania. Walipigana naye huko kwenye bwawa kuu la Gibeoni.