sw_jer_text_reg/41/10.txt

1 line
299 B
Plaintext

\v 10 Kisha Ishmaeli aliwashika watu wengine wote ambao walikuwa huko Mizpa, mabinti wa mfalme na watu wote ambao walikuwa wameachwa huko Mizpa ambayo Nebuzaradani mlinzi mkuu alikuwa amewakabidhi kwa Gedalia mwana wa Ahikamu. Basi Ishmaeli mwana wa Nethania aliwashika na kuvuka kwa watu wa Amoni.