sw_jer_text_reg/23/11.txt

6 lines
726 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 11 Kwa maana manabii na makuhani wote wamekufuru. Nimeona uovu wao ndani ya nyumba yangu! - hili ndilo tamko la Bwana; \v 12 kwa hiyo njia yao itakuwa kama mahali pa kupumzika katika giza. Watasukumwa chini. Wao wataanguka ndani yake. Kwa maana nitawatuma mabaya juu yao katika mwaka wa adhabu yao; hili ndilo tamko la Bwana.
=======
\v 11 Kwa maana manabii na makuhani wote wamekufuru. Nimeona uovu wao ndani ya nyumba yangu! - hili ndilo tamko la Bwana; \v 12 kwa hiyo njia yao itakuwa kama mahali pa kupumzika katika giza. Watasukumwa chini. Wao wataanguka ndani yake. Kwa maana nitatuma mabaya juu yao katika mwaka wa adhabu yao; hili ndilo tamko la Bwana.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113