sw_jer_text_reg/28/10.txt

6 lines
746 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 10 Lakini Hanania nabii akaichukua nira kutoka kwenye shingo ya Yeremia na kuivunja. \v 11 Kisha Hanania akanena mbele ya watu wote na kusema, "Yahwe anasema hivi: Kama hivi tu, ndani ya miaka miwili nitaivunja nira iliyowekwa na Nebukadreza mfalme wa Babeli kutoka kwenye shingo ya kila taifa." Kisha Yeremia nabii akaenda njia yake.
=======
\v 10 Lakini Hanania nabii akaichukua nira kutoka kwenye shingo ya Yeremia na kuivunja. \v 11 Kisha Hanania akanena mbele ya watu wote na kusema, "Yahwe anasema hivi: Kama hivi tu, ndani ya miaka miwili nitaivunja nira iliyowekwa na Nebukadneza mfalme wa Babeli kutoka kwenye shingo ya kila taifa." Kisha Yeremia nabii akaenda njia yake.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113