sw_jer_text_reg/51/63.txt

1 line
247 B
Plaintext

\v 63 Kisha mtakapomaliza kusoma gombo hili, funga jiwe kubwa juu yake na ulitupe katikati ya Frati. \v 64 Sema, 'Babeli utazama kama hivi. Hautainuka kwa sababu ya mabaya ninayoyapeleka juu yake, nao wataanguka." Maneno ya Yeremia yanaishia hapa.