sw_jer_text_reg/40/15.txt

1 line
420 B
Plaintext

\v 15 Basi Yonathan mwana wa Karea alizungumza kwa siri kwa Gedalia huko Mizpa na kusema, "Niruhusu niende kumuua Ishmael mwana wa Nethania. Hakuna atakaye nituhumu. Kwanini asikuue wewe? Kwanini kuruhusu Yuda yote ambayo imekusanywa kwako kutawanyishwa na mabaki ya Yuda kuharibiwa?" \v 16 Lakini Gedalia mwana wa Ahikam alisema kwa Yonathan mwana wa Karea, "Usifanye jambo hili, kwa kuwa unasema uongo kuhusu Ishmael."