sw_jer_text_reg/40/13.txt

1 line
253 B
Plaintext

\v 13 Yonathan mwana wa Karea na amri wote wa jeshi katika uwanja walikuja kwa Gedalia huko Mizpa. \v 14 Walisema kwake, "Haujui kuwa Baalis mfalme wa watu wa Ammoni amemtuma Ishmael mwana wa Nethania kukuua?" Lakini Gedalia mwana wa Ahikim hakuwaamini.