sw_jer_text_reg/25/19.txt

1 line
323 B
Plaintext

\v 19 Mataifa mengine pia walipaswa kunywa: Farao mfalme wa Misri na watumishi wake; maafisa wake na watu wake wote; \v 20 watu wote wa urithi wa mchanganyiko na wafalme wote wa nchi ya Uzi; na wafalme wote wa nchi ya Wafilisti, na Ashkeloni, na Gaza, na Ekroni, na mabaki ya Ashdodi; \v 21 Edomu na Moabu na wana wa Amoni.