sw_jer_text_reg/50/08.txt

1 line
417 B
Plaintext

\v 8 Tokeni kati ya Babeli; tokeni katika nchi ya Wakalidayo; iweni kama wafanyavyo mabeberu mbele ya kundi lote. \v 9 Maana tazama, ninaelekea kupeleka na kuinua kinyume cha Babeli kundi la mataifa makubwa kutoka kaskazini. Yatajipanga yenyewe kinyume chake. Kutoka hapo Babeli utatekwa. Mishale yao ni kama shujaa mzoefu asiyerudi mikono tupu. \v 10 Ukaldayo itakuwa mateka. Wate waitekao wataridhika - asema Yahwe.