sw_jer_text_reg/49/37.txt

1 line
429 B
Plaintext

\v 37 Hivyo nitawavunjavunja Elamu mbele ya adui zao na mbele ya watafutao uhai wao. Maana nitaleta maangamizo dhidi yao, hasira ya gadhabu yangu - hili ni tamko la Yahwe - nami nitapeleka upanga nyuma yao hata nitakapowafuta wote. \v 38 Kisha nitaweka kiti changu cha enzi huko Elamu na kumwangamiza mfalme na viongozi wao kutoka huko - asema Yahwe - \v 39 na itakuwa siku zijazo kwamba nitarejesha mema ya Elamu - asema Yahwe."