sw_jer_text_reg/48/40.txt

1 line
258 B
Plaintext

\v 40 Maana Yahwe asema hivi, "Tazama, adui atakuja akiruka kama tai, akieneza mabawa yake juu ya Moabu. \v 41 Keriothi umetekwa, na ngome zake zimekamatwa. Maana siku hiyo myoyo ya askari wa Moabu itakuwa kama mioyo ya wanawake katika uchungu wa kujifungua.