sw_jer_text_reg/46/15.txt

1 line
424 B
Plaintext

\v 15 Kwa nini Apisi mungu wenu amekimbia? Kwa nini ng'ombe dume mungu wenu hakuweza kusimama? Yahwe amemwangusha chini. \v 16 Ameongeza idadi ya waliojikwaa. Kila askari anaanguka kinyume cha anayefuata. Wanasema, "Inuka. Haya twende nyumbani. Haya na turudi kwa watu wetu, katika nchi yetu ya asili. Na tuuache upanga huu unaotuuwa." \v 17 Walitangaza pale, "Farao mfalme wa Misri ni kelele tu, ameuacha wasaa wake mbali."