sw_jer_text_reg/37/11.txt

1 line
462 B
Plaintext

\v 11 Basi ilikuwa wakati jeshi la Wakaldayo lilipoondoka Yerusalemu wakati jeshi la Farao lilikuwa linakuja, \v 12 kisha Yeremia alienda toka Yerusalemu kwenda nchi ya Benyamini. Alitaka kumiliki njia ya nchi huko miongoni mwa watu wake. \v 13 Kama alivyokuwa katika mlango wa Benyamini, mlinzi mkuu aliyekuwa hapo. Jina lake lilikuwa Iriya mwana wa Shelemia mwana wa Hanania. Alimshika kwa kumnyakua Yeremia nabii na kusema, " Mnatoka jangwani kwa Wakaldayo."