sw_jer_text_reg/35/15.txt

1 line
449 B
Plaintext

\v 15 Niliwatuma kwenu watumishi wangu wote, manabii, nilikuwa nawatuma bila kukoma ili waseme, 'Kila mtu auache uovu wake na kutenda matendo mema; asiwepo mtu wa kuifuata miungu mingine tena na kuiabudu. Bdala yake, rudini kwenye nchi niliyowapa ninyi na babu zenu,' bado hamtanisikiliza wala kutega maskio yenu kwangu. \v 16 Kwa maana uzao wa Yonadabu mwana wa Rekabu wamezishika amri za babu yao alizowapa, lakini watu hawa hupuuza kunisikiliza."