sw_jer_text_reg/32/06.txt

1 line
239 B
Plaintext

\v 6 Yeremia akasema, "Neno la Yahwe lilinijia, likisema, Angalia, Hanameli mwana wa Shalumu mjomba wako anakuja kwako na atasema, \v 7 "Linunue shamba langu ambalo liko katika Anathothi kwa ajili yako, kwa maana haki ya kununua ni yako.""