sw_jer_text_reg/30/08.txt

1 line
304 B
Plaintext

\v 8 Kwa maana itakuwa katika siku hiyo—hili ni tangazo la Yahwe Mungu wa majeshi—kwamba nitaivunja nira ya shingo zenu, na nitaisambaza minyororo yenu, kwa hiyo wageni hawatawafanya watumwa tena. \v 9 Bali watamwabudu Yahwe Mungu wao na kumtumikia Daudi mfalme wao, ambaye nitamfanya mfalme juu yao.