sw_jer_text_reg/29/27.txt

1 line
318 B
Plaintext

\v 27 Kwa hiyo sasa, kwa nini hamkumkemea Yeremia wa Anathothi, ambaye hujifanya mwenyewe nabii juu yenu? \v 28 Kwa maana ametutumia sisi katika Babeli, 'Itakuwa muda mrefu. Jengeni nyumba na muishi ndani yake, na pandeni busitani na mule matunda yake."" \v 29 Sefania kuhani akaisoma barua hii mbele ya Yeremia nabii.