sw_jer_text_reg/29/15.txt

1 line
427 B
Plaintext

\v 15 Tangu mliposema kwamba Yahwe ameinua manabii kwa ajili yetu katika Babeli, \v 16 Yahwe asema hivi kwa mfalme aliyeketi katika kiti cha enzi cha Daudi na watu wote wakaao katika mji huo, ndugu zenu ambao hawakwenda pamoja nanyi utumwani— \v 17 Yahwe Mungu wa majeshi anasema hivi, ''Ona, niko karibu kutuma upanga, njaa, na ugonjwa juu yao. Kwa maana nitawafanya kuwa kama tini mbovu ambazo ni mbaya sana hazifai kuliwa.