sw_jer_text_reg/29/04.txt

1 line
231 B
Plaintext

\v 4 Waraka ulisema, Yahwe Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, anasema hivi kwa mateka ambao niliwasababisha kuwa mateka kutoka Yerusalemu hadi Babeli, \v 5 'Jengeni nyumba na muishi ndani yake. Pandeni bustani na mle matunda yake.