sw_jer_text_reg/16/07.txt

1 line
441 B
Plaintext

\v 7 Hakuna mtu anayepaswa kugawa chakula chochote wakati wa kuomboleza ili kuwafariji kwa sababu ya vifo, na hawatawapa kikombe cha faraja kwa baba yake au mama yake ili kuwafariji. \v 8 Usiende kwenye nyumba ya karamu ili ukae pamoja nao ili kula au kunywa. \v 9 Kwa maana Bwana wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, 'Tazama, mbele yako, siku zako na mahali hapa, nitakomesha sauti ya furaha na sherehe, sauti ya bwana na bibi arusi. '