sw_jer_text_reg/06/09.txt

1 line
314 B
Plaintext

\v 9 Bwana Mungu wa majeshi asema hivi, "Hakika wataokota mabaki ya Israeli waliobaki kama zabibu. Nyosha mkono wako ili uchume zabibu. \v 10 Nitamwambia nani na kumwonya nani ili wasikilize? Tazama! Masikio yao hayakutahariwa; hayawezi kutilia maanani! Tazama! Neno la Bwana limekuja kuwarudi, lakini hawalitaki."