sw_jer_text_reg/06/01.txt

1 line
389 B
Plaintext

\c 6 \v 1 Tafuteni mahali salama, enyi watu wa Benjamini, kwa kuondoka Yerusalemu. Pigeni tarumbeta zaTekoa. Simamisheni ishara juu ya Beth- Hakeremu, kwa uovu unaonekana ukitokea kaskazini; pigo kubwa linakuja. \v 2 Binti za Sayuni, mrembo na mwororo, wataangamizwa. \v 3 Wachungaji na kondoo wao watawaendea; wataweka hema zao zikiwazunguka pande zote; kila mtu atachunga kwa mkono wake.