sw_jer_text_reg/02/07.txt

1 line
377 B
Plaintext

\v 7 Lakini niliwaleta katika nchi ya Kameli, ili mle matunda yake na vitu vingine vyema! Lakini mlipokuja, mliitia unajisi nchi yangu, mliufanya urithi wangu kuwa chukizo! \v 8 Hata makuhani hawakusema, 'BWANA yuko wapi?' na watalamu wa sheria hawakunijali mimi! Wachungaji wametenda dhambi dhidi yangu. Manabii wamemtolea Baali unabii na kuvitafuta vitu ambavyo havina faida.